Badilisha Kituo Chako cha Kazi kwa Urahisi
Jukwaa la kwanza Tanzania kwa watumishi wa Serikali (Afya, Elimu na Nyingine) kutafuta wa kubadilishana naye kituo cha kazi kwa haraka na uwazi.
JisajiliChagua UnakotakaTafuta Mwenza
26
Mikoa Yote
188
Wilaya
25,000+
Shule
14,000+
Vituo vya Afya
Jinsi Inavyofanya Kazi
Hatua 4 rahisi kupata mtu wa kubadilishana naye kituo.
1
Jisajili
Chagua idara na kada yako, weka kituo cha sasa.
2
Chagua Unakotaka
Onyesha mikoa/wilaya au vituo unavyotaka kwenda.
3
Tafuta Mwenza
Orodha inaonesha watumishi wenye kada sawa nawe wanaotaka kuja kwako.
4
Wasiliana
Tuma ujumbe au piga simu — thibitisha na mmoja.
Uko Tayari Kubadilisha Kituo?
Jisajili sasa bure. Tumeshakuwa na watumishi wengi wanaotafuta mwenza wa kubadilishana vituo kila mkoa Tanzania.
Jisajili Sasa