Dhamira Yetu na Hadithi Yetu
Walimu
Walimu wa elimu ya msingi na sekondari โ lugha, hisabati, sayansi, na masomo mengine.
Watumishi wa Afya
Madaktari, wauguzi, wataalamu wa maabara, na watoa huduma za dawa.
Watumishi wa Umma
Maafisa na watumishi wa serikali โ uhasibu, TEHAMA, utawala.
Wafanyakazi wa Kilimo
Maafisa kilimo, wakulima wa kitaalamu, na wataalamu wa mifugo.
Nia Yetu
Kuwasaidia watumishi wa Serikali (Idara ya Afya na Elimu) kubadilishana vituo vya kazi kwa uwazi, haraka, na bila kupitia matapeli. Tunatatua tatizo la posts za WhatsApp zisizo na muundo, ambazo hazitoi majibu ya haraka.
Tatizo Tunalotatua
- Posts za WhatsApp ni ngumu kutafuta โ unascroll mamia ya posts.
- Hakuna uthibitisho โ wasakinishi wanajifanya kuwa halali.
- Format tofauti tofauti โ matching ni ngumu.
- Post ikishaposti, huwezi kubadilisha unakotaka kuhamia.
Suluhisho Letu
Jukwaa la kidijitali linalotafuta mwenza kiotomatiki โ unaingia data zako mara moja, mfumo unakuletea watumishi wanaotaka kuja kwako na wenye kada sawa nawe. Hakuna kuscroll, hakuna wasakinishi.
Timu Yetu
Viongozi wa Kubadilishana Vituo โ wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Hajj Hussein Hamisi
MWANZILISHIAnasimamia maono ya awali ya mfumo wa Kubadilishana Vituo na kuongoza mwelekeo wa muda mrefu wa bidhaa.
Chuo Kikuu cha Dodoma ยท Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Uhandisi wa Programu
Mhitimu 2026
Dodoma, Tanzania
Hamisi Selemani Hamisi
AFISA MTENDAJI MKUUAnaongoza utekelezaji, uratibu na mwelekeo wa kila siku wa jukwaa la Kubadilishana.
Chuo Kikuu cha Dodoma ยท Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Uhandisi wa Programu
Mhitimu 2026
Dodoma, Tanzania