Miradi Yetu

Ramani ya Mfumo

๐Ÿ“ข TLM Tanzania โ€” Jukwaa la Walimu

โ— Inaendelea

Karibu TLM Tanzania! Ndani ya TLM Tanzania kuna walimu waajiriwa kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania, pamoja na wanafunzi wa vyuo, wahitimu, waombaji wa kazi na wadau wengine wa elimu.

Hii ni nafasi ya kujifunza, kusaidiana na kubadilishana uzoefu. Usisite:

Kushiriki mawazo (share your thoughts) ยท Kuuliza maswali ยท Kushirikisha mbinu za ufundishaji na ujifunzaji ยท Kutoa mapendekezo ya kuboresha elimu na matumizi ya teknolojia.

TLM Tanzania si chaneli ya mtu mmoja, bali ni jukwaa la wote. Mawazo yako yanaweza kuwasaidia maelfu ya walimu, wanafunzi na wadau wa elimu nchini.

Karibu tushirikiane kujenga jamii yenye maarifa, ubunifu na mshikamano. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Takwimu za TLM Tanzania

27
Schemes
1.8K
Lesson Plans
737
Teachers
12
Logbook Entries
108
Lesson Notes
Ingia TLM Tanzania โ†’